top of page

CHUO CHA VICTORY VOCATIONAL TRAINING CENTRE (VVTC)

KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA VET/MOR/PR/2014/D/033

 

Tunatoa huduma ya mafunzo/kozi zitaanza mwezi wa sitai zitamfanya mwanachuo kujiajili au kuajiliwa baada ya masomo. Pia chuo kinautaratibu wa kumtafutia mwanafunzi field na kumuunganisha kwenye ajira mara tu baada ya kumaliza mafunzo yake. Chuo kinapokea wale wote wenye elimu ya dalasa la saba, form four na kuendelea, pia chuo kinatoa vyeti vinavyotambuliwa na Serikali kwa kila mhitimu. Chuo kina mazingira mazuri ya kulala(Hostel),walimu wazuri na ada nafuu unayoweza kulipia kidogo kidogo Chuo kipo Morogoro.

 

Kwa mafunzo bora na ajira ya uhakika

KOZI YA COMPUTER

MUDA:MIEZI MITATU (3)

 

KOZI YA UFUNDI USHONAJI (CHEREHANI)

MUDA: MIEZI SITA (6)

 

KOZI YA HOTEL MANAGEMENT

MUDA:MIEZI TISA (9)

KOZI YA SECRETARIAL

MUDA: MIEZI SITA (6)

 

KOZI YA UJASILIAMALI

MUDA: MIEZI SITA (3)

Click here to

take

Application

form

Chuo cha VICTORY kinakutangazia nafasi mabalimbali za masomo january 2017

  1. kozi ya computer

  2. kozi ya ualimu wa awali

  3. kozi ya hotel management

  4. kozi ya ushonaji

  5. kozi ya ujasiliamali

  6. wahi kujiandikidha tupo,sabasaba,jengo la ccm mkoa ghorofa ya 3 karibuni sana. 0715176 176

 TUMEJALIBU, TUMEWEZA,UNASOMGA MBELE

bottom of page