top of page
Search

NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2017

  • viyoso2011
  • Nov 29, 2016
  • 1 min read

Chuo cha Victory VOCATIONAL TRAINING CENTRE (VVTC) KIMESAJILIWA NA VETA kwa namba VET/MOR/PR/2014/D/033 kinatangaza nafasi za mafunzo/kozi zitaanza mwaka ujao 2017.

Kozi ya COMPUTER kwa muda wa miezi mitatu (3), Kozi ya UFUNDI USHONAJI kwa muda wa miezi sita (6), Kozi y HOTEL Managment kwa muda wa miezi tisa (9), Kozi ya SECRETARIAL kwa muda wa miezi sita (6) na Kozi ya UJASILIAMALI kwa muda wa miezi sita (6).

Chuo kinapokea wale wote wenye elimu ya dalasa la saba, form four na kuendelea, pia chuo kinatoa vyeti vinavyotambuliwa na Serikali kwa kila mhitimu, pia Chuo kina mazingira mazuri ya kulala(Hostel),walimu wazuri na ada nafuu unayoweza kulipia kidogo kidogo.

Chuo kipo Morogoro Mjini, au wasiliana nasi kwa simu namba 0715 176176, 0765-180186 Email:viyoso2011@gmail.com,

Kwa mafunzo bora na ajira ya uhakika


 
 
 
Gallery News
IMG_20161111_102416
IMG_20161201_113312[1]
IMG_20161202_174520[1]
IMG_20161201_113653[1]
IMG_20161111_093419
IMG_20161111_101516
Recent Posts
Archive
Follow Us
  • Google+ Social Icon
  • YouTube Social  Icon
  • Facebook Basic Square
  • Twitter Basic Square
  • Google+ Basic Square

© 2016 by Viyoso. Proudly created with 0655 492623

​​Call us:

+255 715 176176

+255 765 180186

​Find us: 

Postal Address

P. O. BOX 5143 Morogoro.

Tanzania

bottom of page